Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 105:06:11
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episódios
-
Taarifa ya Habari 3 Februari 2025
03/02/2025 Duração: 07minWaziri wa Kigeni Penny Wong amesema vikwazo vipya vya kufadhili ugaidi kwa mtandoa wa kundi lawa neo-Nazi wa mtandaoni kwa jina la Terrorgram, ni sehemu ya hatua za serikali dhidi ya mashambulizi dhidi ya ubaguzi wa wayahudi pamoja na uhalifu wa chuki.
-
Bw Omari "watu wana anza sema wakati wa Kabila ulikuwa afadhali kuliko sasa"
03/02/2025 Duração: 11minHali ya usalama inavyo zidi kudorora katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ndivyo serikali ya Rais Tshisekedi inavyo zidi kuwa chini ya shinikizo kubwa.
-
Taarifa ya Habari 31 Januari 2025
31/01/2025 Duração: 18minSerikali ya shirikisho na Victoria zime tia saini mkataba wa uwekezaji wenye thamani ya dola bilioni $2.5 kwa elimu, ambayo serikali hizo zime sema uwekezaji huo utawasaidia wanafunzi, wafanyakazi pamoja na familia.
-
Rais Tshisekedi awarai vijana wajiunge na jeshi kupambana na M23
31/01/2025 Duração: 06minRais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi, amewarai vijana kujiunga kwa wingi na jeshi la taifa kusaidia kupambana na waasi wa M23 wanaojaribu kukamata maeneo makubwa zaidi mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jaguar "Tunaomba nchi jirani zisaidie kutafuta amani na usalama DRC"
28/01/2025 Duração: 10minMilipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 kuingia mjini humo.
-
Taarifa ya Habari 28 Januari 2025
28/01/2025 Duração: 19minMweka hazina wa Shirikisho Jim Chalmers ana amini kuwa takwimu za mfumuko wa bei zitakazo tolewa kesho jumatano, zinaweza wapa wa Australia afueni ya gharama ya maisha wanayo hitaji sana.
-
Shinikizo ya gharama yamaisha yafanya wanafunzi wasajiliwe katika shule za umma
28/01/2025 Duração: 07minMwaka wa shule wa 2025 ume anza hii leo Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili wanatarajia kurejea shuleni kesho Jumatano 29 Januari katika jimbo la Victoria na Wilaya ya Kaskazini.
-
Tundu Lissu ashinda uchaguzi wa uongozi wa CHADEMA
24/01/2025 Duração: 07minChama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimetua kiongozi wake mpya kuelekea uchaguzi Mkuu wa urais wa mwezi Oktoba.
-
Taarifa ya Habari 24 Januari 2025
24/01/2025 Duração: 18minMweka hazina Jim Chalmers amesema makato ya ushuru ya serikali yame leta utofauti kwa walipa ushuru, wakati matokeo ya kura ya maoni yanaonesha ongezeko la hali yaku kata tamaa kuhusu afueni ya gharama ya maisha.
-
What does January 26 mean to Indigenous Australians? - Januari 26 ina maana gani kwa wa Australia wa Asili?
23/01/2025 Duração: 09minIn Australia, January 26 is the national day, but the date is contentious. Many migrants who are new to Australia want to celebrate their new home, but it’s important to understand the full story behind the day. - Nchini Australia, Januari 26 ni siku kuu ya taifa, ila tarehe hiyo ina utata. Wahamiaji wengi ambao ni wageni Australia, hutaka kusherehekea nchi yao mpya ila, ni muhimu kuelewa hadithi kamili kuhusu siku hiyo.
-
Taarifa ya Habari 21 Januari 2025
21/01/2025 Duração: 21minWaziri wakigeni Penny Wong amesema Australia ina kesi imara, yakuto jumuishwa katika pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump kutoza ushuru.
-
Rwanda yatangaza imepata mafuta katika ziwa Kivu
21/01/2025 Duração: 07minRwanda imesema Jumatano kuwa imefanya ugunduzi wa mafuta katika Ziwa Kivu, ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika nchi isiyo na bahari katika eneo la Maziwa Makuu, kulingana na vyombo vya habari vya ndani.
-
Taarifa ya Habari 17 Januari 2025
17/01/2025 Duração: 16minKupandishwa cheo kwa wanasiasa wanne wa kike ndani ya baraza la mawaziri wa waziri mkuu, kume fufua mjadala kuhusu uwakilishi wa wanawake ndani ya upinzani wa mseto.
-
Ongezeko ya karo ya shule yafanya familia zi hisi shinikizo
17/01/2025 Duração: 06minKuna salia wiki chache kwa mwaka wa shule wa 2025 kuanza, janga la gharama ya maisha lina endelea kuweka shinikizo kwa familia zinazo lipa karo ya shule.
-
Bensoul "kuwa mwandishi wa nyimbo iliyo shinda grammy imenifungulia milango mingi"
15/01/2025 Duração: 18minNyota ya Bensoul katika sanaa ina zidi kung'aa kila kukicha.
-
Taarifa ya Habari 14 Januari 2025
14/01/2025 Duração: 19minWaziri Mkuu Anthony Albanese amefanya mkutano wake wa kwanza wa 2025 na baraza lake la mawaziri.
-
Lissu "hatuwezi tegemea kipya kutoka kiongozi ambaye ameongoza kwa miaka 21"
10/01/2025 Duração: 07minMgombea wa wadhifa wa uongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania, amefunguka kuhusu sababu zake zaku wania wadhifa huo.
-
Taarifa ya Habari 10 Januari 2025
10/01/2025 Duração: 18minUchaguzi mkuu ujao wa shirikisho una chukua mkondo wakuwa shindano la gharama ya maisha ila, hakuna chama kikubwa ambacho kime toa ahadi kubwa za matumizi kwa ajili yakuwavutia wapiga kura.
-
Wakenya wafunguka kuhusu visa vya utekaji nyara
09/01/2025 Duração: 30minVyombo vya usalama nchini Kenya vina endelea kushtumiwa kwa visa vya utekaji nyara.
-
Taarifa ya Habari 7 Januari 2025
07/01/2025 Duração: 17minWakaaji wa Queensland wame hamasishwa wachukue chanjo zinazo tolewa bure, jimbo hilo likitabiri msimu mubaya wa mafua uko njiani.