Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 105:06:11
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episódios

  • SBS Learn Eng pod 35 Jinsi ya kuzungumzia sifa zako kazini #2

    23/04/2025 Duração: 15min

    Je, unajua jinsi ya kuzungumzia sifa zako kazini?

  • Taarifa ya Habari 22 Aprili 2025

    22/04/2025 Duração: 17min

    Zaidi ya idadi yawa katoliki milioni 5 nchini Australia wana omboleza, kufuatia kifo cha Papa Francis. Imeripotiwa kuwa Papa alifariki akiwa na miaka 88, baada yaku kumbwa kwa kiharusi na mshtuko wa moyo.

  • Australia ikoje kwa wahamiaji wenye ulemavu

    22/04/2025 Duração: 12min

    Katika mwaka wa 2023, Tume ya Kifalme ilipata kuwa watu wenye ulemavu wali kabiliwa kwa visa vya kubaguliwa nakutengwa, pamoja na vurugu, kunyanyaswa na, unyonywaji na kupuuzwa.

  • Taarifa ya Habari 15 Aprili 2025

    15/04/2025 Duração: 15min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali madai kuwa sera ya nyumba ya chama chake, ita ongeza bei za nyumba.

  • Msamaha wa Rais Tshisekedi kwa wafungwa wafanya raia wa Rubero kuishi kwa wasiwasi

    15/04/2025 Duração: 07min

    Raia wanao ishi Butembo na miji ya karibu, wamesema wanaishi kwa hofu baada ya zaidi ya wafungwa 100 kuachiwa huru.

  • Taarifa ya Habari 11 Aprili 2025

    11/04/2025 Duração: 11min

    Waziri Mkuu amekabiliana na maswali kuhusu uwezekano wa mkataba wa manowari ya Australia na Marekani pamoja na Uingereza, kufuatia utoaji wa ushuru wa Marekani ambao ume tikisa dunia nzima.

  • Zaidi ya vitabu: Jinsi maktaba hujenga jumuiya

    11/04/2025 Duração: 13min

    Maktba za umma za Australia ni mahali maalum. Ndio, huwa zina kuruhusu ukope vitabu bure ila pia, zina toa utajiri wa miradi na huduma, bure pia na hukaribisha kila mtu, kutoka watoto wachanga hadi wazee.

  • Taarifa ya Habari 10 Aprili 2025

    11/04/2025 Duração: 05min

    Uamuzi wa Donald Trump kuregeza ushuru kwa nchi kadhaa, hauta athiri moja kwa moja Australia ila, uamuzi huo unaweza fungua mlango kwa mazungumzo ya ziada na marekani.

  • SBS Learn Eng pod 68 Kujadili taarifa za habari

    11/04/2025 Duração: 16min

    Je, unajua namna ya kufanya majadiliano kuhusu taarifa za habari?

  • Sean MMG "mitandao yaki jamii imefanya iwe rahisi kwa vijana kama sisi kutokea katika muziki"

    10/04/2025 Duração: 07min

    Wasanii maarufu kutoka Kenya; Sean MMG, Ssaru na Tipsy Gee walitembelea studio yet hivi karibuni wakati wa ziara yao ya Australia.

  • Taarifa ya Habari 8 Aprili 2025

    08/04/2025 Duração: 16min

    Serikali ya Albanese imesema uwekezaji wa serikali wa $1 bilioni moja inatambua pengo muhimu la wafanyakazi katika huduma ya afya ya akili inayo stahili fanyiwa kazi.

  • Uchaguzi Mkuu 2025: Dutton afuta sera yakumaliza mpangilio wakufanyia kazi nyumbani

    08/04/2025 Duração: 09min

    Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton, ame tupa nje mpango wake waku walazimisha wafanyakazi wa umma kurejea ofisini aki kiri sera hiyo ilikuwa kosa.

  • Taarifa ya Habari 7 Aprili 2025

    08/04/2025 Duração: 06min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ya shirikisho ina wasiwasi kuhusu athari za msukosuko wa kifedha, kufuatia ushuru wa marekani ulio tangazwa mwaka jana na jinsi hali hiyo ina wa athiri wa Australia.

  • Australia Yafafanuliwa: Jinsi yakupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho

    04/04/2025 Duração: 12min

    Wa Australia milioni kumi na nane wame sajiliwa kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho mwezi ujao.

  • Taarifa ya Habari 4 Aprili 2025

    04/04/2025 Duração: 15min

    Kiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amerudia sera yake muhimu ya uchaguzi yaku wasilisha matibabu ya meno bure kwa mfumo wa Medicare, akisema wa Australia wanalipa hela nyingi sana kwa huduma muhimu ya afya.

  • M23 na serikali ya DRC kufanya mazungumzo ya ana kwa ana

    04/04/2025 Duração: 05min

    Duru za pande hasimu nchini Kongo, zimesema serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 wanajiandaa kwa mazungumzo ya ana kwa ana 9 Aprili 2025.

  • Taarifa ya Habari 3 Aprili 2025

    03/04/2025 Duração: 05min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ita toa dola milioni 50, kwa sekta zitakazo athiriwa kwa tangazo jipya la ushuru kutoka Marekani.

  • The legal loophole allowing political lies during elections - Mwanya wa kisheria unao ruhusu uongo wakisiasa wakati wa uchaguzi

    03/04/2025 Duração: 07min

    With an election date set for May 3rd, campaigning has officially begun. But political advertisements have already been circulating for months. Can you trust what they say? - Baada ya tarehe ya uchaguzi kutangazwa kuwa 3 Mei, kampeni zime anza rasmi. Ila matangazo ya kisiasa yame kuwa yaku sambazwa kwa miezi kadhaa. Je, unaweza amani wanavyo sema?

  • Ssaru "Mwanzoni familia hawakutaka tuwe wasanii"

    03/04/2025 Duração: 08min

    Kila kukicha sekta ya sanaa nchini Kenya, huwakaribisha wasanii wapya.

  • Swahili Taarifa ya Habari 1 Aprili 2025

    01/04/2025 Duração: 19min

    Waziri wa Ajira na mahusiano ya kazini, Murray Watt, ame kosoa ahadi ya upinzani yaku futa baadhi ya mageuzi ya mahusiano ya viwanda ya Serikali ya Labor.

página 1 de 26