Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 105:06:11
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episódios

  • Taarifa ya Habari 23 Julai 2023

    23/07/2023 Duração: 16min

    Mfumo wa sera ya nyumba jimboni Victoria, wapokewa kwa hisia mseto na baadhi ya wadau jimboni humo.

  • Taarifa ya Habari 22 Julai 2023

    23/07/2023 Duração: 05min

    Mweka hazina wa taifa Jim Chalmers ametetea mfumo mpya wa ustawi wakitaifa wa serikali, katika jibu kwa ukosoaji kuwa baadhi ya data inayo tumiwa imepitwa na wakati.

  • Germain "nataka leta aina mpya ya siasa DRC"

    20/07/2023 Duração: 16min

    Kampeni za uchaguzi mkuu zime anza katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

  • Taarifa ya Habari 18 Julai 2023

    18/07/2023 Duração: 17min

    Serikali ya shirikisho leo imetangaza kuanzishwa kwa vituo vyakusomea vya vyuo vikuu, katika vitongoji vya nje ya miji mikubwa. Vituo vipya thelathini na nne, vita anzishwa katika maeneo ambayo hayana vyuo na, ambako asilimia ya umma yenye elimu ya juu ziko chini.

  • Kura ya maoni ya Voice ina husu nini?

    18/07/2023 Duração: 15min

    Baadae mwaka huu, wa Australia watashiriki katika kura ya maoni ambako wata ulizwa kupiga kura ya NDIO au LA kwa swali lifuatalo: Una unga mkono mageuzi kwa katiba kuwatambua wa Australia wa kwanza kwa kuanzisha Sauti yawa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait?

  • Taarifa ya Habari 17 Julai 2023

    17/07/2023 Duração: 06min

    Watendaji wa kampuni ya ushauri ya Deloitte wafika mbele ya kikao cha Seneti baada ya kuvuja kwa sakala la ushuru la kampuni ya PwC.

  • Rais Ruto "Sitaruhusu maandamano Kenya"

    17/07/2023 Duração: 07min

    Rais wa Kenya Dkt William Ruto ameapa kutoruhusu kufanyika kwa maandamano ya upinzani ambayo yamepangwa kufanyika wiki ijayo.

  • Taarifa ya Habari 16 Julai 2023

    16/07/2023 Duração: 19min

    Mweka hazina wa taifa Jim Chalmers ame ondoka nchini usiku wa leo aki elekea nchini India, ambako atawakilisha Australia katika mikutano ya G-20 mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu mjini Gandhinagar.

  • Dr Joel Kimeto afunguka kuhusu safari yake katika sanaa

    16/07/2023 Duração: 38min

    Dr Joel Kimeto ni msanii maarufu wa nyimbo za injili ndani na nje ya Kenya.

  • Taarifa ya Habari 15 Julai 2023

    16/07/2023 Duração: 06min

    Upigaji kura umeanza katika eneo bunge la Fadden ambalo liko Gold Coast, wagombea wakifanya kampeni za dakika za lala salama kwa umma.

  • Taarifa ya Habari 14 Julai 2023

    14/07/2023 Duração: 05min

    Michele Bullock atakuwa Gavana mpya wa Benki Kuu ya Australia.

  • Jamii ya wakenya waomboleza kifo cha ghafla cha Lydia Cheptoo

    13/07/2023 Duração: 09min

    Kifo cha ghafla cha Lydia Cheptoo kimezua majonzi na simanzi, katika jumuiya ya wakenya nchini Australia.

  • Ni makaazi gani yanapatikana kwa wanafunzi

    12/07/2023 Duração: 11min

    Australia ni moja ya sehemu zinazo vutia kusomea ng'ambo.

  • Taarifa ya Habari 11 Julai 2023

    11/07/2023 Duração: 19min

    Australia na Ujerumani zatia saini ya biashara huru naku ahidi misaada ya ziada kwa Ukraine.

  • Balozi Ali Karume afutwa uanachama CCM

    10/07/2023 Duração: 07min

    Chama tawala cha CCM Zanzibar, kimemfuta uanachama kada wake, Balozi Ali Karume na kumtaka arejeshe kadi ya chama hicho.

  • Taarifa ya Habari 9 Julai 2023

    09/07/2023 Duração: 19min

    Waziri wa Elimu wa shirikisho Jason Clare amesema itabidi waziri mkuu wa zamani Scott Morrison, aishi na madhara ya mfumo wa robodebt katika dhamira yake.

  • Isaac "Viongozi wengi wa Afrika wanachaguliwa na mataifa ya Magharibi"

    06/07/2023 Duração: 11min

    Wanachama wa Jumuiya ya DR Congo wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika hafla maalum yaku adhimisha miaka 63 ya uhuru wa nchi yao pendwa.

  • Unastahili zingatia nini unapo panga kuhamia katika jimbo lingine?

    05/07/2023 Duração: 09min

    Kila mwaka, ma mia ya maelfu yawa Australia huhama kutoka majimbo wanako ishi kwa sababu za kazi, elimu, maisha, familia au msaada bora wa jamii.

  • Taarifa ya Habari 4 Julai 2023

    04/07/2023 Duração: 17min

    Waziri wa Fedha akaribisha uamuzi wa benki ya hifadhi wakuto ongeza kiwango cha riba.

  • Mahakama yasema mipango ya serikali ya Uingereza kwa waomba hifadhi ni kinyume cha sheria

    04/07/2023 Duração: 04min

    Mpango wa serikali ya Uingereza waku wapeleka waomba hifadhi Rwanda, ume patwa kuwa ni kinyume ya sheria na mahakama moja mjini London.

página 25 de 26