Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 105:06:11
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episódios

  • David afunguka kuhusu manufaa ya kuwa mwanachama wa Men's Cave Forum

    20/10/2023 Duração: 10min

    Wanaume wenye asili ya Kenya katika jimbo la Victoria, wali anzisha kundi kwa jina la Men's Cave Forum, ambalo hutumiwa kushughulikia maswala mbali mbali yanayo wakumba wanachama wake.

  • Taarifa ya Habari 17 Oktoba 2023

    17/10/2023 Duração: 15min

    Serikali ya shirikisho imesema inaendelea kufuatilia hali inayo endelea kudorora mjini Gaza, wakati Israel ina andaa kufanya mashambulizi ya nchi kavu baada ya hatua yakuzingira mji huo, ambayo mashirika ya msaada yamesema inachangia katika mgogoro wakibinadam.

  • Kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ime isha kwa matokeo ya 'La'

    17/10/2023 Duração: 07min

    Wa Australia wame kataa pendekezo lakuweka sauti yawa Australia wa kwanza ndani ya katiba, baada ya kampeni ya La kushinda katika majimbo yote sita pamoja na wilaya ya Northern Territory.

  • Taarifa ya Habari 16 Oktoba 2023

    16/10/2023 Duração: 06min

    Wa Australia wengine 250 wame hamishwa kutoka Israel, wakati hali ya usalama nchini humo inaendelea kudorora.

  • Wanaume jimboni Victoria wapata sehemu salama yakujumuika nakuchangia uzoefu wao

    13/10/2023 Duração: 10min

    Ni nadra kupata kundi au shirika linalo wahudumia nakushughulikia maswala yanayo wakumba wanaumi katika jamuia.

  • Taarifa ya Habari 13 Oktoba 2023

    13/10/2023 Duração: 18min

    Jumuiya zawayahudi nawa palestina wa Australia, zaendelea kuhofia usalama wa jamaa wao ambao wame kwama katika vita.

  • Kupiga kura ya Voice: Kile ambacho unaweza na hauwezi fanya katika kituo chakupiga kura

    13/10/2023 Duração: 08min

    Maafisa wa uchaguzi nchini Australia wame toa taarifa ya kina kuhusu utaratibu utakao fuatwa, kwa kura ya maoni ya sauti yawa Australia wa kwanza bungeni itakayo fanywa Jumamosi.

  • Taarifa ya Habari 10 Oktoba 2023

    10/10/2023 Duração: 18min

    Maandamano yakupinga Israel yameshuhudiwa mjini Sydney wakati wa makabiliano kati ya jeshi la Israel na Hamas yakiendelea, wakati huo huo mjini Perth, kundi linalo unga mkono Israel limeshiriki katika ibada maalum kwa niaba ya nchi hiyo.

  • Kelvin Kiptum atikisa dunia

    10/10/2023 Duração: 10min

    Mwanariadha Kelvin Kiptum Cheruiyot amejitengea nafasi yake katika vitabu vya historia kwa kushinda mbio za marathon mjini Chicago kwa muda wa masaa 2:00:34.

  • Ongezeko la ugonjwa wa kisukari: Uchunguzi waangazia mwenendo wakutisha wa afya

    10/10/2023 Duração: 10min

    Serikali kwa sasa inazingatia mawasilisho kwa uchunguzi wa shirikisho, kuhusu ugonjwa wa kisukari, hali ambayo inazidi kuongezeka kote nchini Australia.

  • Geofrey "mengi yaliyo jadiliwa katika mkutano huu yametufungua mawazo sana sisi wanafunzi"

    09/10/2023 Duração: 12min

    Jumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walikuwa na mkutano ulio toa fursa kwa wanachama wa jumuiya hiyo kuzungumza nama wakala wa uhamiaji pamoja na wataalam wengine.

  • Irene "kila mtu alirudi nyumbani akijua fasi gani katika familia anastahili tengeneza vizuri"

    09/10/2023 Duração: 11min

    Kwa mara nyingine kongamano la wanawake wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi jimboni NSW, lili ongeza idadi ya walio lihudhuria katika kitongoji cha Wollongong.

  • Bobi Wine awekwa katika kizuizi cha nyumbani muda mfupi baada yakuwasili Uganda

    06/10/2023 Duração: 07min

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine amesema siku ya Alhamisi amewekwa katika kizuizi cha nyumbani, baada ya kukamatwa na maafisa wa usalama alipokuwa akirejea nyumbani akitokea nje ya nchi.

  • Taarifa ya Habari 6 Oktoba 2023

    06/10/2023 Duração: 19min

    Wataalam wamesema Australia inahitaji makumi yama elfu ya nyumba za ziada zakukodi, wakati viwango vya nyumba zakukodi vinarejea katika viwango vya chini katika rekodi hali ambayo imeongeza kodi sana.

  • Baadhi ya wahamiaji wafunguka kuhusu kura ya The Voice

    05/10/2023 Duração: 05min

    SBS ina tambua kuwa maoni yanayo wasilishwa katika makala haya, haya wakilishi maoni ya jumuiya pana na si uwakilishi wa takwimu ya umma wa Australia. Kura ya maoni ya The Voice itafanywa Jumamosi 14 Oktoba 2023. Siku hiyo, wapiga kura wata ombwa kupiga kura ya ‘ndio’ au ‘la’ kwa swali moja pekee.

  • Mgahawa wa Music & Food waleta ladha mpya Sydney, Australia

    05/10/2023 Duração: 07min

    Walio hudhuria tamasha ya Africultures ya 2023, walikabiliawa kwa wakati mgumu wa kipi cha kuonja na kipi cha kupuuzwa.

  • Wahamiaji wanahitaji taarifa gani kabla waje Australia?

    05/10/2023 Duração: 11min

    Kila mwezi makumi yama elfu ya wahamiaji huwasili katika miji mbali mbali nchini Australia.

  • Taarifa ya Habari 3 Oktoba 2023

    03/10/2023 Duração: 18min

    Benki kuu ya Australia imeacha kiwango cha hela taslim kwa 4.1% kwa mwezi wa nne mfululizo.

  • Hatua zaku uza gari yako nchini Australia

    03/10/2023 Duração: 10min

    Inapofika wakati waku aga gari yako ya zamani, kuna mengi yakufanya zaidi yaku iosha, kutoa kitabu cha ukarabati pamoja nakupokea malipo.

  • Taarifa ya Habari 1 Oktoba 2023

    01/10/2023 Duração: 18min

    Seneta wa chama cha Greens Jordan Steele-John amesema panastahili kuwa waziri washirikisho wa ulemavu, anaye stahili ongoza utekelezwaji wa mapendekezo kutoka tume yakifalme kwa ulemavu.

página 22 de 26