Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 105:06:11
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episódios

  • Prof Chacha "Tunastahili ongeza juhudi kukutanisha Rwanda na DRC ili tupate suluhu ya amani"

    23/02/2024 Duração: 06min

    Maelfu ya raia wanao ishi katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, wanahangaika kutokana na upungufu mkubwa wa chakula ndani ya maduka na masoko ya eneo hilo.

  • Sergent "Kiptum alikuwa mtu mpole na mcheshi sana"

    23/02/2024 Duração: 15min

    Habari za kifo cha mshindi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon za wanaume, Kelvin Kiptum katika ajali ya barabarani, zilitikisa dunia nzima siku chache zilizo pita.

  • Tresor "Lugha ya mama inatusaidia kuendeleza mila yetu"

    23/02/2024 Duração: 05min

    Shirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.

  • Taarifa ya Habari 23 Februari 2024

    23/02/2024 Duração: 18min

    Muda wastan unao hitajika kuokoa asilimia 20 ya hela zaku nunua nyumba ume pungua.

  • Immaculate "Tuki poteza lugha tuta poteza utamaduni wetu "

    23/02/2024 Duração: 06min

    Shirika la Umoja wa Mataifa limekuwa liki adhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya mama 21 Februari tangu 1999.

  • Taarifa ya Habari 22 Februari 2024

    22/02/2024 Duração: 07min

    Uhaba wa ushindani sokoni waifanya serikali ya shirikisho izindue uchunguzi wa swala hilo.

  • Ushonaji wa jumuiya zawa Australia wa Kwanza una umuhimu gani kitamaduni

    21/02/2024 Duração: 11min

    Moja ya mifano ngumu zaidi na ya kisasa ya teknolojia ya Jumuiya zawa Australia wa kwanza na tamaduni, huonekana kupitia kushuka.

  • Taarifa ya Habari 20 Februari 2024

    20/02/2024 Duração: 19min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese anamshtumu kiongozi wa upinzani wa shirikizo Peter Dutton, kwa kuwahamasisha wasafirishaji haramu wa watu.

  • Wanafunzi walengwa kuwa wasafirishaji wa pesa na wanakabiliwa na madhara makubwa

    20/02/2024 Duração: 09min

    Kuna onyo mpya kuhusu matangazo yakufanyia kazi nyumbani, ambayo yanaonekana kuvutia sana au yanayo ahidi maokoto makubwa kwa uwekezaji.

  • Taarifa ya Habari 19 Februari 2024

    19/02/2024 Duração: 06min

    Waziri wa mazingira Tanya Plibersek amemshtumu Peter Dutton kwa kuwasaidia wasafirishaji haramu wa watu kufanya matangazo, kwa kudai kuwa serikali ya shirikisho imeregeza hatua za usalama mpakani.

  • Taarifa ya Habari 16 Februari 2024

    16/02/2024 Duração: 17min

    Upinzani wa shirikisho una wasiwasi kuhusu hali ya uchumi wa Australia, kiwango cha ukosefu wa ajira kikiongezeka hadi 4.1%.

  • Kuwa salama katika jua bila kujali aina ya ngozi yako

    16/02/2024 Duração: 11min

    Miongozo ya usalama wa jua imesasishwa kwa mara ya kwanza kujumuisha ushauri kwa aina tofauti za ngozi.

  • Kuwa salama katika jua bila kujali aina ya ngozi yako

    16/02/2024 Duração: 11min

    Miongozo ya usalama wa jua imesasishwa kwa mara ya kwanza kujumuisha ushauri kwa aina tofauti za ngozi.

  • What is Lunar New Year, and how is it celebrated in Australia? - Mwaka Mpya wa Lunar ni nini, na unasherehekewaje Australia?

    14/02/2024 Duração: 10min

    "Lunar New Year", also known as the "Spring Festival", has become a significant part of Australian culture. The celebration is so popular that Sydney's version is considered the largest outside Asia. - "Mwaka Mpya wa Lunar", unajulikana pia kama "Sherehe ya Mchipuko wa mimea", imekuwa sehemu muhimu ya tamaduni ya Australia. Sherehe hiyo imekuwa maarufu sana na sherehe za Sydney zina zingatiwa kama kubwa zaidi nje ya Asia.

  • Taarifa ya Habari 13 Februari 2024

    13/02/2024 Duração: 18min

    Serikali ya shirikisho iko katika hatari yaku kosa kuungwa mkono kwa sera yake muhimu ya nyumba.

  • Vincent afunguka kuhusu sekta ya ucheshi Australia

    13/02/2024 Duração: 07min

    Idadi ya wacheshi wenye asili ya Afrika ina endelea kuongezeka nchini Australia.

  • Taarifa ya Habari 9 Februari 2024

    09/02/2024 Duração: 18min

    Uchambuzi mpya wa shirika la Regional Australia Institute umepata kuwa bei za nyumba katika maeneo ya kanda, zina fika viwango vya juu nakukaribia bei katika soko za miji.

  • Ni mbinu ipi bora ya kutokomeza ukeketaji

    09/02/2024 Duração: 11min

    Mashirika mbali mbali yana endelea kuongeza juhudi kutokomeza ukeketaji, pamoja nakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.

  • Taarifa ya Habari 8 Februari 2024

    09/02/2024 Duração: 06min

    Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape, ame hotubia bunge la Australia.

  • Saada afunguka kuhusu umuhimu wakutokomeza ukeketaji

    06/02/2024 Duração: 10min

    Februari 6 ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketaji, mashirika na mamlaka mbali mbali huandaa hafla zakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.

página 17 de 26