Jua Haki Zako
EAC : Wakimbizi wazidi kukimbia makwao wakitafuta amani
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:10:08
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Maelfu ya watu kote barani Afrika wanalazimika kuyahama makazi yao—wengine kwa sababu ya vita, wengine kwa sababu ya mateso au hali ngumu ya maisha. Wanakimbilia nchi jirani wakitafuta usalama, hifadhi, na matumaini ya kuanza upya, lakini safari ya kuwa mkimbizi si rahisi, ni safari ya maumivu, vizingiti, na kupoteza mengi. Katika makala haya tunajadili visingiti wanavyokumbana navyo watu wanaokimbia maakazi yao kutokana na vita. Skiza makala haya kufahamu mengi.