Jua Haki Zako
Kenya: Haki ya matumizi ya vyombo vya dijitali
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:10:07
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Kadri Afrika inavyozidi kuingia katika ulimwengu wa kidijitali, kila siku mamilioni ya watu wanaingia mitandaoni—kutafuta taarifa, kuwasiliana, kufanya biashara na hata kushiriki mijadala ya kisiasa. Lakini swali kuu ni Je, watu wote wanaelewa haki zao katika mazingira haya mapya ya kidijitali? Skiza makala haya kufahamu mengi.