Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wanaharakati wa Kenya na Uganda wajieleza, Rais wa DRC akutana na mpinzani Martin Fayulu

Informações:

Sinopse

Wito wa wanaharakati wa haki za binadamu kwa serikali za Kenya na Tanzania, kuwashughulikia maafisa wa polisi waliowatendea dhulma na unyanyasaji wa kijinsia, mkutano kati ya rais wa DRC Félix Tshisekedi na mwanasiasa wa upinzani na kiongozi wa chama cha Ecidé Martin Fayulu, siasa za Uganda, Kenya maeneo ya afrika magharibi na kati na pia katika mataifa mengine