Habari Za Un
Raia kuhukumiwa katika mahakama za kijeshi, Türk amsihi Rais kukataa muswada - Uganda
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:01:52
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa , Volker Türk, leo Ijumaa mjini Geneva, Uswisi kupitia msemaji wake ameelezea wasiwasi wake kuhusu kupitishwa kwa muswada uliopendekezwa na Bunge la Uganda unaoruhusu raia kuhukumiwa katika mahakama za kijeshi. Anold Kayanda ameifuatilia taarifa hiyo.