Habari Za Un
UN Women Tanzania yawawezesha wanawake wenye ulemavu kujiinua kiuchumi
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:05:05
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake UN WOMEN nchini Tanzania linaendesha mradi wa wanawake na uongozi chini ya ufadhili wa Finland mradi unaolenga kuwawezesha wanawake wenye ulemavu kujikwamua kiuchumi na pia kushiriki katika ngazi za uongozi katika maeneo yao.Kupitia makala hii Leah Mushi anatukutanisha na wanawake wawili walionufaika na mradi huo wa UN WOMEN na wanaeleza namna jamii zao zilivyokuwa kabla na baada ya kupatiwa elimu ya masuala mbalimbali yahusuyo watu wenye ulemavu.