Habari Za Un

UN: Malori ya msaada Gaza bado yanasubiri ruhusa kusambaza chakula na dawa ndani ya eneo hilo

Informações:

Sinopse

Wafanyakazi wa misaada wa Umoja wa Mataifa leo wamesema kwamba bado wanangoja kibali kutoka kwa Israel ili kusambaza msaada wa kuokoa maisha ulioruhusiwa kuingia Gaza mwanzoni mwa wiki ambapo malori matano yalifanikiwa kuingia baada ya vikwazo kwa wiki 11. Flora Nducha na taarifa zaidi