Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Vita ya Sudan kuingia mwaka wa tatu, Joseph Kabila arejea nchini DRC
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:20:02
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Vita ya sudan Kuingia katika mwaka wa tatu wiki hii, Kenya yatangaza marufuku ya biashara ya figo baada ya ufichuzi, rais wa zamani wa DRC arejea nchini aliwasili mjini Goma huku Marekani ikiitaka nchi ya Rwanda kuondoa wanajeshi wake mashariki mwa nchi hiyo, tumeangazia siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi wa Oktoba, kule Sahel na wito wa rais wa Ghana wiki hii akiwataka viongozi wa nchi hizo kuungana pamoja na pia mkutano wa Paris kuhusu hatima ya vita ya Ukraine