Habari Rfi-ki

Marekani : Rais Donamd Trump atangaza ushuru zaidi kwa bidhaa za kigeni

Informações:

Sinopse

Kwenye makala haya tunajadili,  hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump kutangaza kuongeza ushuru kwa bidhaa zote zanazoingizwa Marekani, kutoka mataifa ya Kigeni, hatua inayoonekana kutikisa uchumi wa Dunia.  Je unahisi hatua ya rais Trump ni sahihi?Ndilo swali tumeuuliza.Skiza makala haya kujua maoni ya waskilizaji.