Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Kiongozi wa Chama cha upinzani Tanzania Chadema ashikiliwa kwa uhaini, hali ya DRC
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editora: Podcast
- Duração: 0:20:16
- Mais informações
Informações:
Sinopse
Matukio ya wiki: kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama cha upinzani cha Chadema nchini Tanzania, Tundu Lisu, maadhimisho ya miaka 31 ya mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda mwaka 1994, mafuriko jijini Kinshasa huko DRC, hali ya sudan Kusini kutokana na kukamatwa na kuzuiwa nyumbani kwa makamu wa kwanza wa rais Riek Machar, uchaguzi wa Gabon, na pia mzozo wa kibiashara kati ya Marekani na mataifa mengine ulimwenguni ni miongoni mwa Habari kuu za dunia zilizojiri kwa juma hili.