Nyumba Ya Sanaa

Utengenezaji wa filamu katika eneo la mashariki mwa DRC

Informações:

Sinopse

Makala ya nyumba ya sanaa inaangazia utengenezaji wa filamu, mabadiliko ya ubunifu wa filamu unaoendana na teknolojia ya kisasa. Mbali na utovu wa usalama eneo la Beni mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, vijana pia wamekuwa wakijitahidi katika kufanikisha namna ya kuwapa burudani ya filamu