Nyumba Ya Sanaa

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editora: Podcast
  • Duração: 8:03:56
  • Mais informações

Informações:

Sinopse

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

Episódios

  • Tanzania: Sanaa ya ushairi na msanii Michael James maarufu Michael

    28/09/2024 Duração: 20min

    Sanaa ya ushairi inawavutia zaidi watu wanaotamani kujua utamu na upekee wa lugha adhimu ya Kiswahili, Chuo kikuu cha Dar es salaam kimewatambua na kuwapa fursa vijana waliosomea fani ya sanaa, kubobea katika kughani Mashairi. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Msanii Michael James maarufu Michael. 

  • Tanzania: Muziki wa kizazi kipya kwa vijana

    21/09/2024 Duração: 20min
  • Tanzania: Tunazungumza na kundi la wasani la viongozi generation

    14/09/2024 Duração: 20min

    Mwandishi wetu Steven Mumbi amezungumza na kundi la wasani la viongozi generation.

  • Tanzania: Muziki wa kizazi kipya na Hussein Mussa Shundi Maarufu Rucky

    07/09/2024 Duração: 20min

    Muziki wa kizazi kipya umewawezesha vijana nchini Tanzania kujikwamua kimaisha kwa kujipatia kipato kupitia Sanaa hiyo,Katika Makala haya Steven Mumbi anazungumza na Hussein Mussa Shundi Maarufu Rucky.

página 2 de 2